Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwa njia ya Simu na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM kwa Wananchi wa Jimbo la Lupa katika Uwanja wa Shule ya Msingi Makongorosi Chunya Mkoani Mbeya leo Octoba 14,2020 (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Chunya wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akihutubia mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Shule ya Msingi Makongorosi Chunya Mkoani Mbeya leo Oktoba 14,2020