Home Siasa Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe...

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli azungumza na Wananchi wa Kawe

0

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Jimbo la Kawe katika mkutano wa Kampeni za CCM zilizofanyika katika uwanja wa Tanganyika Packers uliopo Kawe, Kinondoni mkoani Dar es Salaam leo tarehe 14 Oktoba 2020.

Wananchi wa Jimbo la Kawe wakiwa wamefurika katika Uwanja wa mkutano wa Tanganyika Packers kumsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 14 Oktoba 2020.

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa Tanganyika Packers kwa ajili ya kuwahutubia wananchi wa Jimbo la Kawe leo tarehe 14 Oktoba 2020.