Home Siasa MAELFU YA WANANCHI WAKUSANYIKA KATIKA VIWANJA VYA TANGANYIKA PARKER’S KAWE JIJINI DAR...

MAELFU YA WANANCHI WAKUSANYIKA KATIKA VIWANJA VYA TANGANYIKA PARKER’S KAWE JIJINI DAR ES SALAAM

0

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye viwanja vya Tanganyika Parker’s Kawe jijini Dar es Salaam leo Jumatano Oktoba 14, 2020 ili kuwahutubia maelfu ya Wananchi waliojitokeza katika mkutano huo ili kumsikilizaMgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwa ameketi jukwaani akimsikiliza maombi ya Mtume Boniface Mwamposa kwenye viwanja vya Tanganyika Parker’s Kawe jijini Dar es Salaam leo Jumatano Oktoba 14, 2020 ambako anatarajia kuwahutubia maelfu ya Wananchi waliojitokeza katika mkutano huo ili kumsikiliza.

Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Mama Janeth Magufuli akiwasili kwenye viwanja vya Tanganyika Parker’s Kawe jijini Dar es Salaam leo Jumatano Oktoba 14, 2020. Sheikh wa mkoa wa Dar es salaam Shaikh Al Hadi Mussa akisoma dua katika mkutano huo unaofanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Parker’s Kawe jijini Dar es salaam . Msanii Stamina akifanya vitu vyake jukwaani katika mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais kupitia chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli katika mkutano unaofanyika leo kwenye viwanja vya Tanganyika Parker’s Kawe jijini Dar es slaamMtume Boniface Mwamposa akiombea mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais kupitia chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli katika mkutano unaofanyika leo kwenye viwanja vya Tanganyika Parker’s Kawe jijini Dar es Salaam.

Vibe la Wana CCM mkutano wa kampeni wa CCM Kawe jijini Dar es salaam katika kampeni wa Mgombea Urais kupitia chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli katika mkutano unaofanyika leo kwenye viwanja vya Tanganyika Parker’s Kawe jijini Dar es Salaam.