Home Siasa MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI AMANI TANGA

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI AMANI TANGA

0

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipomuombea kura Mgombea Urais wa CCM, Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Mbunge na Madiwani wa CCM katika mkutano uliofanyika  kwenye uwanja wa Burwa, Amani wilayani Muheza mkoa wa Tanga.

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Amani wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Burwa  wilayani Muheza kumuombea kura Mgombea Urais wa CCM, Rais, Dkt. John Pombe Magufuli, Mbunge na Madiwani wa CCM 

Wananchi wa Amani wilayani Muheza mkoa wa Tanga  wakishangilia  Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa  wakati  alipomuombea kura mgombea urais wa CCM, Rais Dkt. John Pombe Magufuli,Mbunge na Madiwani wa CCM kwenye uwanja wa Burwa.

Mwanamuziki Mkongwe, Nguza Vicking maarufu kwa jina la Babu Seya  akiimba katika mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa   kwenye uwanja wa Burwa katika Kata ya Misalai wilayani Muheza, Oktoba 11, 2020. 

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akishuhudia wakati Mbunge wa Muheza aliyemaliza muda wake , Adadi Rajabu alipomuombea kura, Mgombea ubunge wa CCM katika jimbo hilo, Hamisi Mwinjuma maarufu kwa jina la Mwana FA (kulia) katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa  Burwa, Amani wilayani Muheza.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Kassim Majaliwa akiwakabidhi Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 Mgombea Ubunge wa CCM wa Jimbo la Muheza, Hamisi Mwinjuma maarufu kwa jina la Mwana FA (kulia)  na Mgombea Udiwani wa Kata ya Masalai, Said Zubeir Mtunguja wakati alipohutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Burwa, Amani wilayani Muheza, Oktoba 11, 2020