Home Siasa MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR AHUTUBIA KATIKA MKUTANO WA CCM WA MGOMBEA...

MAKAMU MWENYEKITI WA CCM ZANZIBAR AHUTUBIA KATIKA MKUTANO WA CCM WA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR DK HUSSEIN MWINYI CHWAKA ZANZIBAR LEO 10-10-2020.

0

MWANACHAMA wa Chama Cha Mapinduzi akishangilia wakati mgombea
Urais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia
katika mkutano wake wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya mpira
Chwaka Wilaya ya Kati Unguja leo 10-10-2020.(Picha na Ikulu) BAADHI ya Viongozi wakishiriki katika kuimba wimbo wa
Mashujaa wakati wa hafla ya mkutano wa Kampeni ya CCM uliofanyika katika Uwanja wa Mpira wa Chwaka Wilaya ya Kati Unguja leo.10/10/2020.(Picha na Ikulu) VIJANA wa CCM wakishangilia wakati wa mkutano wa kampeni ya
Mgombea Urais wa Zanzibar Mhe. Hussein Ali Hassan Mwinyi uliofanyika
katika uwanja wa mpira Chwaka leo 10-10-2020.(Picha na IKulu)

BAADHI ya Viongozi wa CCM na Wagombea Ubunge na Uwakilishi wa
CCM wakifuatilia mkutano wa Kampeni ya Mgombea Urais wa Zanzibar kwa
tiketi ya CCM Mhe.Dk. Hussein Mwinyi uliofanyika katika uwanja wa Chwaka
Wilaya ya Kati Unguja leo.(Picha na Ikulu) MAKAMU Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Bi. Tabia Maulid Mwita
akizungumza na kuwaombea kura Wagombea wa CCM wakati wa mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa Zanzibar uliofanyika katika  viwanja vya
mpira Chwaka leo 10-10-2020.(Picha na Ikulu)

UMATI wa Wanachama wa CCM Wilaya ya Kati Unguja wakiwa katika
viwanja vya mpira Chwaka wakifuatilia mkutano wa Kampeni ya Mgombea
Urais wa Zanzibar Mhe.Dk. Hussein mwinyi leo 10-10-2020.(Picha na Ikulu)