Home Mchanganyiko ZIARA YA UKAGUZI KUELEKEA UCHAGUZI MKUI OKTOBA 2020

ZIARA YA UKAGUZI KUELEKEA UCHAGUZI MKUI OKTOBA 2020

0

Kamishna wa Ushirikishwaji wa Jamii wa Jeshi la Polisi, Dkt Mussa Ali Mussa yupo katika muendelezo wa ziara yake katika mikoa ya kusini ya kukagua maandalizi ya mpango kazi wa usimamizi wa Uchaguzi Mkuu Oktoba 28, 2020.

Kamishna wa Ushirikishwaji wa Jamii wa Jeshi la Polisi, Dkt Mussa Ali Mussa akiongea na wananchi wa Kijiji Cha Kitaya Kata ya Kitaya Wilaya ya Mtwara vijijini mpakani mwa Tanzania na Msumbiji.