Home Siasa MGOMBEA WA URAIS WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AONGEA NA WANANCHI WA...

MGOMBEA WA URAIS WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AONGEA NA WANANCHI WA WILAYA YA TEMEKE JIJINI DAR ES SALAAM

0

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongea na maelfu ya wananchi wa wilaya ya Temeke wakati wa mkutano wake wa kampeni katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam leo Ijumaa Oktoba 9, 2020  Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni
mwenyekiti wa Chama hicho Tawala Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiaga baada ya kuongea na maelfu ya wananchi wa Temeke katika mkutano wake wa kampeni katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam leo Ijumaa Oktoba 9, 2020