Home Siasa SHIGONGO KUMALIZA CHANGAMOTO YA ELIMU NA AFYA KATIKA JIMBO LA BUCHOSA

SHIGONGO KUMALIZA CHANGAMOTO YA ELIMU NA AFYA KATIKA JIMBO LA BUCHOSA

0

***************************

Mapokezi ya mgombea ubunge Jimbo la Buchosa, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Eric Shigongo katika Kijiji cha Magulukenda alipowasili kwa ajili ya mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kijiji hicho jana.

Akizungumza kwenye mkutano huo, Shigongo amesema changamoto zilizopo katika kijiji hicho atazitatua kwa kushirikiana na wananchi ikiwa ni pamoja na wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo kama ujenzi wa nyumba vya madarasa shule za msingi na sekondari, zahanati na shughuli zingine ambazo n ziatahitaji nguvu ya wananchi na mengine, jambo ambalo litasaidia kufikia malengo ya maendeleo katika jimbo hilo.