Home Siasa MKUTANO WA KAMPENI JIMBO LA MWERA CCM WAIVURUGA NGOME YA WAPINZANI

MKUTANO WA KAMPENI JIMBO LA MWERA CCM WAIVURUGA NGOME YA WAPINZANI

0

Mwenyekiti mstaafu wa CCM Mkoa wa Mjini, Yussuf  Yussuf, akiwatambulisha wagombea, Zahor Mohammed Haji (kulia) mgombea ubunge, Mihayo Juma Nh’unga, mgombea Uwakilishi (wa tatu kutoka kulia) na wagombea udiwani wa Jimbo la Mwera, wakati wa Mkutano wa Kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Garagara, Mtoni Kidatu mjini Unguja Zanzibar, jana.

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Chaby Six, akitoa burudani wakati wa  Mkutano wa Kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Garagara, Mtoni Kidatu mjini Unguja Zanzibar, jana.

 Mwenyekiti mstaafu wa CCM Mkoa wa Mjini, Yussuf  Yussuf, akizungumza na wananchi wa Jimbo la Mwera wakati wa mkutano wa kampeni wa wagombea, Zahor Mohammed Haji, mgombea ubunge, Mihayo Juma Nh’unga, mgombea Uwakilishi na wagombea udiwani wa Jimbo la Mwera, wakati wa Mkutano wa Kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Garagara, Mtoni Kidatu mjini Unguja Zanzibar, jana.

Mgombea Ubunge wa Jimbo la mwera, Zahor Mohammed Haji,  akizungumza na wananchi wa Jimbo la Mwera wakati wa mkutano wa kampeni wa wagombea, Zahor Mohammed Haji, mgombea ubunge, Mihayo Juma Nh’unga, mgombea Uwakilishi na wagombea udiwani wa Jimbo la Mwera, wakati wa Mkutano wa Kampeni uliofanyika katika Uwanja wa Garagara, Mtoni Kidatu mjini Unguja Zanzibar, jana. (Picha na Muhidin Sufiani)