Home Mchanganyiko NHIF ARUSHA YAWAFIKIA MAKUNDI YALIYOSAJILIWA NA MRAJISI WA USHIRIKA KUNUFAIKA NA MATIBABU

NHIF ARUSHA YAWAFIKIA MAKUNDI YALIYOSAJILIWA NA MRAJISI WA USHIRIKA KUNUFAIKA NA MATIBABU

0
Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF) mkoa wa Arusha,Issaya Shekifu akizungumza na makundi mbalimbali ya Ushirika ambao ni wanufaika wa bima ya makundi katika kikao kilichofanyika jijini Arusha.
Meneja wa Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF) mkoa wa Arusha,Issaya Shekifu akizungumza na makundi mbalimbali ya Ushirika ambao ni wanufaika wa bima ya makundi katika kikao kilichofanyika jijini Arusha ,kulia ni Mrajisi wa Ushirika mkoa wa Arusha,Emmanuel Sanka.

Wananchi ambao wapo kwenye Ushirika ambao ni wanufaika wa mfuko wa Bima ya Afya(NHIF) wakiwa kwenye kikao kilichofanyika jijini Arusha.
Mwenyekiti wa Umoja wa wapigapicha Arusha(Uwapia),Maglani Taiko akizungumza katika kikao kilichofanyika jijini Arusha  kuhusu makundi yaliyosajiliwa kwenye Ushirika kunufaika na Mfuko wa Bima ya Afya(NHIF).