Home Mchanganyiko UFUNGUZI WA BARABARA YA KOMBENI-FUONI NA JUMBI-KOANI

UFUNGUZI WA BARABARA YA KOMBENI-FUONI NA JUMBI-KOANI

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein (kushoto) na Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi (kulia) kwa pamoja wakifungua pazia ikiwa ni ishara ya Ufunguzi wa Barabara ya Kombeni-Fuoni iliyojengwa na Kampuni ya “CHINA CIVIL ENGINEERING CORPRATION”(CCECC) kutoka  China ambapo Serikali imegharamia ujenzi huo katika hafla iliyofanyika leo Kombeni Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi(katikati) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Sei Ali Iddi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein (katikati) akikata utepe ikiwa ni ishara ya Ufunguzi wa Barabara ya Kombeni-Fuoni iliyojengwa na Kampuni ya “CHINA CIVIL ENGINEERING CORPRATION”(CCECC) kutoka  China ambapo Serikali imegharamia ujenzi huo, hafla iliyofanyika leo Kombeni Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi,Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Sei Ali Iddi(kati) Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi (wa pili kulia) na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Dk.Sira Ubwa Mamboya.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Sei Ali Iddi (katikati) wakitembea kwa pamoja na Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi (kulia)  na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Dk.Sira Ubwa Mamboya mara baada ya kukata utepe ikiwa ni ishara ya Ufunguzi wa Barabara ya Kombeni-Fuoni iliyojengwa na Kampuni ya “CHINA CIVIL ENGINEERING CORPRATION”(CCECC) kutoka  China ambapo Serikali imegharamia ujenzi huo katika hafla iliyofanyika leo Kombeni Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Barabara ya Kombeni-Fuoni iliyojengwa na Kampuni ya “CHINA CIVIL ENGINEERING CORPRATION”(CCECC) kutoka  China, ambapo Serikali imegharamia ujenzi huo  katika hafla iliyofanyika leo Kombeni Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi (kulia) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Kichama Nd,Mohamed Rajab .

Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Wizara ya Ujenzi,Usafirishaji na Mawasiliano na Taasisi nyengine wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Barabara ya Kombeni-Fuoni iliyojengwa na Kampuni ya “CHINA CIVIL ENGINEERING CORPRATION”(CCECC) kutoka  China katika hafla iliyofanyika leo Kombeni Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi.

Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Viongozi wengine wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Barabara ya Kombeni-Fuoni iliyojengwa na Kampuni ya “CHINA CIVIL ENGINEERING CORPRATION”(CCECC) kutoka  China katika hafla iliyofanyika leo Kombeni Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi.

Baadhi ya Wanachama cha Mapinduzi na Wananchi wa Vijiji vya Kombeni,Fuoni Uwandani na Kisakasaka kwa pamoja  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake ya Ufunguzi wa Barabara ya Kombeni-Fuoni iliyojengwa na Kampuni ya “CHINA CIVIL ENGINEERING CORPRATION”(CCECC) kutoka  China katika hafla iliyofanyika leo Kombeni Wilaya ya Magharibi “B” Mkoa wa Mjini Magharibi.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein (kulia) na Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia CCM Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi (katikati)  na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Usafirishaji Dk.Sira Ubwa Mamboya pamoja na Viongozi wengine wakitembea kwa pamoja  mara baada ya kukata utepe kuifungua   Barabara ya Jumbi-Koani Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja iliyojengwa na Kampuni ya  MECCO ya Dar es Salaam    hafla iliyofanyika leo Jumbi Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.[Picha na Ikulu]