Rais Dk John Pombe Magufuli Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) akizungumza na wananchi wa Mlowo aliposimama na kuwaomba kura akiwa njiani kuelekea Momba Mkoani Songwe kwa mkutano wa wake Kampeni leo Alhamisi Oktoba 01, 2020
Wananchi wa Mlowo waliojitokeza kumlaki Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dk.John Pombe Magufuli wakipiga Pushup mbele yake wakati aliposimama Eneo hilo na kuwaomba kura
Rais Dk John Pombe Magufuli Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) akipunga mikono pamoja na wananchi wakati akizungumza nao Eneo la Mlowo na kuwaomba kura akiwa njiani kuelekea Momba Mkoani Songwe kwa mkutano wa wake Kampeni leo Alhamisi Oktoba 01, 2020
Rais Dk John Pombe Magufuli Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) akipunga mkono wakati akizungumza na wananchi wa Mlowo aliposimama na kuwaomba kura akiwa njiani kuelekea Momba Mkoani Songwe kwa mkutano wa wake Kampeni leo Alhamisi Oktoba 01, 2020
Rais Dk John Pombe Magufuli Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na wananchi wa Mlowo aliposimama na kuwaomba kura akiwa njiani kuelekea Momba Mkoani Songwe kwa mkutano wa wake Kampeni leo Alhamisi Oktoba 01, 2020