Home Mchanganyiko MASISTA KANISA KATOLIKI MBEYA WAMUOMBEA MGOMBEA URAIS CCM DKT.MAGUFULI

MASISTA KANISA KATOLIKI MBEYA WAMUOMBEA MGOMBEA URAIS CCM DKT.MAGUFULI

0

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiombewa Sala ya heri katika Majukumu yake na Masista wa Kanisa Katoliki jijini Mbeya jana mara baada ya kuwahutubia Maelfu ya Wananchi wa mkoa wa Mbeya