Home Siasa MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI – KATA YA UYOVU, WILAYANI BUKOMBE

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI – KATA YA UYOVU, WILAYANI BUKOMBE

0

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa eneo la Runzewe,  Kata ya Uyovu, wilayani Bukombe, katika mkutano wa kampeni,

 

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Bukombe, Dotto Biteko, azungumza mbele ya Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, eneo la Runzewe,  Kata ya Uyovu, wilayani Bukombe, katika mkutano wa kampeni, Oktoba 1, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)