Home Uncategorized RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI KWENYE MKUTANO UNAOFANYIKA UWANJA WA NDEGE...

RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI KWENYE MKUTANO UNAOFANYIKA UWANJA WA NDEGE JIJINI MBEYA

0

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwapungia wananchi wa jiji la Mbeya mara baada ya kuwasili kwenye mkutano wakapeni unaofanyika kwenye uwanja wa ndege wa zamani jijini Mbeya leo Jumatano Septema 30,2020.

(PICHA NA JOHN BUKUKU-MBEYA)

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimia wananchi wa jiji la Mbeya mara baada ya kuwasili kwenye mkutano wakapeni unaofanyika kwenye uwanja wa ndege wa zamani jijini Mbeya leo Jumatano Septema 30,2020.