Home Siasa MGOMBEA MWENZA WA KITI CHA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA...

MGOMBEA MWENZA WA KITI CHA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA CCMMHE.SAMIA SULUHU AZUNGUMZA NA WANANCHI WILAYA YA HANANG

0

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa kijiji cha Labai na Dinamu Wilaya Hanang alipokuwa njiani akielekea Wilaya ya Hanang kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa  kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 30,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)