Home Siasa MGOMBEA MWENZA MAMA SAMIA AWASHA MOTO KAMPENI ZA CCM HANANG

MGOMBEA MWENZA MAMA SAMIA AWASHA MOTO KAMPENI ZA CCM HANANG

0

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kijiji cha Basotu Hanang Mkoani Manyara alipokuwa njiani akielekea Katesh kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM  leo 

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Kijiji cha Mulbadaw Hanang Mkoani Manyara alipokuwa njiani akielekea Katesh kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM  leo Septemba 30,2020