Home Siasa MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM MHE.DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AZUNGUMZA NA...

MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM MHE.DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MYOLOLO AKIWA NJIANI KUELEKEA MKOANI MBEYA

0

Mgombea Urais wa Jamhuri ya. Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi CCM akiomba kura kwa wananchi wa Nyololo mkoani Iringa wakati akiwa njiani akielekea mkoani Mbeya leo Jumanne September 29, 2020 (PICHA NA JOHN BUKUKU-NYOLOLO Baadhi ya Wananchi wakimlaki Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dk. John Pombe Magufuli katika mji wa Nyololo mkoani Iringa