Home Siasa MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM MHE.DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI...

MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM MHE.DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AHUTUBIA WANANCHI WA MKOA WA MBEYA

0

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dk John Pombe Magufuli akiwapungia mkono wananchi wa Chimala wilaya ya Mbarali waliojitokeza kwa wingi kumlaki na kumsikiliza wakati alipowasili mkoani Mbeya leo Jumanne Septemba 29, 2020.(PICHA NA JOHN BUKUKU- CHIMALA MBEYA) you Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dk John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Chimala wilaya ya Mbarali waliojitokeza kwa wingi kumlaki na kumsikiliza wakati alipowasili mkoani Mbeya leo Jumanne Septemba 29, 2020. Mmoja wa wanachama wa CCM akiwa aneshikikia bango lenye ujumbe wa Umoja wa Wanawake wa CCM wakati Wanawake hao walipojumuika kumlaki Rais Dk. John Pombe Magufuli Eneo la Chimala mkoani Mbeya Baadhi ya. Wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi Eneo la Chimala ili kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Dk. John Pombe Magufuli wakati alipowasili mkoani Mbeya leo Jumanne Septemba 29,2020.