Home Siasa MGOMBEA URAIS CCM DKT.MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MAFINGA

MGOMBEA URAIS CCM DKT.MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MAFINGA

0

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili Mafinga kwa ajili ya kuwahutubia wakazi wa eneo hilo wakati akitokea mkoani Iringa

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi Mafinga mkoani Iringa wakati akielekea Makambako mkoani Njombe katika muendelezo wa Kampeni za CCM leo tarehe 29 Septemba 2020

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono Wananchi wa Mafinga mara baada ya kumaliza kuwahutubia leo tarehe 29 Septemba 2020

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimvalisha Kofia Bibi aliyefahamika kwa jina moja Bibi Zainabu mara baada ya kuwahutubia wananchi wa Mafinga mkoani Iringa

Sehemu ya Wananchi wa Mafinga wakimsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli wakati aliposimama Mafinga leo tarehe 29 Septemba 2020.