Home Siasa MAELFU YA WANANCHI WA MBARALI,CHIMALA MKOANI MBEYA WAKUSANYIKA KUMSIKILIZA MGOMBEA URAIS MHE.JOHN...

MAELFU YA WANANCHI WA MBARALI,CHIMALA MKOANI MBEYA WAKUSANYIKA KUMSIKILIZA MGOMBEA URAIS MHE.JOHN POMBE MAGUFULI

0

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Igurusi Mbarali mkoani Mbeya katika mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 29 Septemba 2020

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Chimala mkoani Mbeya katika mikutano ya Kampeni za CCM leo tarehe 29 Septemba 2020

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa kijiji cha Halali Wanging’ombe mkoani Njombe wakati akielekea mjini Mbeya leo tarehe 29 Septemba 2020  

Wananchi wa Igawa mkoani Mbeya wakishangilia mara baada ya Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli kuwasili wakati akitokea mkoani Njombe leo tarehe 29 Septemba 2020