Home Michezo LIVERPOOL YAIZAMISHA 3-1 ARSENAL UWANJA WA ANFIELD LIGI KUU

LIVERPOOL YAIZAMISHA 3-1 ARSENAL UWANJA WA ANFIELD LIGI KUU

0

Mshambuliaji Sadio Mane akishangila baada ya kuifungia Liverpool bao la kwanza dakika ya 28 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Arsenal kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Anfield. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Andy Robertson dakika ya 34 na Diogo Jota dakika ya 88, baada ya Arsenal kutangulia kwa bao la Alexandre Lacazette dakika ya 25 PICHA ZAIDI SOMA HAPA