Home Mchanganyiko RAIS DKT.SHEIN AFUNGUA JENGO LA ABIRIA TERMINAL III ZANZIBAR

RAIS DKT.SHEIN AFUNGUA JENGO LA ABIRIA TERMINAL III ZANZIBAR

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia ikiwa ni ishara ya Ufunguzi wa jengo la Abiria la (Terminal III) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,hafla iliyofanyika leo Kisauni Wilaya ya Magharibi (B) Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja (kulia kwa Rais) Mgombe wa Urais Zanzibar Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi), 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(wa pili kushoto) akikata utepe kuashiria  Ufunguzi wa jengo la Abiria la (Terminal III) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,hafla iliyofanyika leo Kisauni Wilaya ya Magharibi (B) Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja (kulia) Mgombe wa Urais Zanzibar Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi)akifuatiwa na Makamo wa Pili wa Rais  wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Balozi Mdogo wa China aliyepo Zanzibar Xe Xiaowu .

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri wa Ujenzi,Usafirishaji na Mawasiliano Mhe. Sira Ubwa Mamboya (katikati) wakipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Nd,Mustafa Aboud Jumbe (wa pili kulia) alipokagua jengo la  Abiria la (Terminal III) baada ya ufunguzi rasmi uliofanyika leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,  Kisauni Wilaya ya Magharibi (B) Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja (kushoto)Meneja wa Ujenzi Jengo Nd.Yasser De Costa 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein( katikati) akiwapungia mkono wananchi katika hafla ya  Ufunguzi wa jengo la Abiria la (Terminal III) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,hafla iliyofanyika leo Kisauni Wilaya ya Magharibi (B) Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja (kulia kwa Rais )  Waziri wa Ujenzi,Usafirishaji na Mawasiliano Mhe. Sira Ubwa Mamboya 

Msanii wa kizazi kipya Asley akiwaburudisha wananchi na Viongozi waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa jengo la Abiria la (Terminal III) katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar,hafla iliyofanyika leo Kisauni Wilaya ya Magharibi (B) Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja

Picha na Ikulu