Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa chama Rais Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia wananchi wa Manzase jimbo la Mtera mkoani Dodoma akiwa njiani kuelekea mkoani Iringa leo Jumatatu Septemba 28, 2020.
(PICHA NA JOHN BUKUKU-MTERA -DODOMA)
Mgombea Ubunge jimbo la Mtera Ndugu Livingstone Lusinde akimuombea kura Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa chama Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakati alipozungumza na wananchi wa Manzase jimbo la Mtera mkoani Dodoma akiwa njiani kuelekea mkoani Iringa leo Jumatatu Septemba 28, 2020.
Picha mbalimbali zikionesha wananchi wakimsikiliza Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mwenyekiti wa chama Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakati akihutubia wananchi wa Manzase jimbo la Mtera mkoani Dodoma akiwa njiani kuelekea mkoani Iringa leo Jumatatu Septemba 28, 2020.