Home Siasa MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM BABATI VIJIJINI

MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM BABATI VIJIJINI

0

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Wilaya ya Babati Vijijini alipowasili katika Uwanja wa Galapo Babati vijijini Mkoani Manyara leo Septemba 28,2020 kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa  kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubi Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Wilaya ya Babati Vijijini mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa  Galapo Babati Vijijini Mkoani Manyara leo

Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Kongwa Dodoma wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,  alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa  Galapo Wilaya Babati Vijijini Mkoani Manyara leo Septemba 28,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)