Home Mchanganyiko MGOMBEA MWENZA MAMA SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA SIMANJIRO AKIELEKEA BABATI...

MGOMBEA MWENZA MAMA SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI WA SIMANJIRO AKIELEKEA BABATI MANYARA

0

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa kijiji cha Irkiushiobr na kijiji cha Simanjiro alipokuwa njiani akielekea Wilaya ya Babati Vijijini Mkoani Manyara kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa  kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 28,2020.  (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)