Home Siasa MAELFU KWA MAELFU WAJITOKEZA KUMSIKILIZA MGOMBEA URAIS WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI...

MAELFU KWA MAELFU WAJITOKEZA KUMSIKILIZA MGOMBEA URAIS WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI IRINGA, AOMBEWA KURA NA USHINDI WA KISHINDO NA MTWA WA WAHEHE CHIFU ADAM MKWAWA

0

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mtwa wa Wahehe Chifu Adam Mkwawa baada ya kuhutubia maelfu kwa
maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni katika Uwanja wa
Samora Machel mjini Iringa leo

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni katika Uwanja wa Samora Machel mjini Iringa

Mtwa wa Wahehe Chifu Adam Mkwawa akimkaribisha na kumuombea kura pamoja na ushindi wa kishindo Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mbele ya maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Samora Machel mjini Iringa

Sehemu ya nyomi iliyojitokeza kumsikilkiza Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika mkutano wake wa kampeni katika Uwanja wa Samora Machel mjini Iringa

Wagombea ubunge wa majimbo ya mkoa wa Iringa wakimshangilia Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli wakati akihutubia katika  mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Samora Machel mjini Iringa

Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimuombea kura mgombea ubunge wa jimbo la Iringa mjini Ndugu Jesca Msambatavangu mbele ya maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa kampeni katika Uwanja wa Samora Machel mjini Iringa leo Jumatatu Septemba 28, 2020

PICHA NA IKULU