Home Mchanganyiko UFUNGUZI WA JUMBA LA “SHEIKH THABITI KOMBO MALL” MICHENZANI UNGUJA

UFUNGUZI WA JUMBA LA “SHEIKH THABITI KOMBO MALL” MICHENZANI UNGUJA

0

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mgombea Urais wa Zanzibar CCM Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi wakati alipowasili katika sherehe za ufunguzi wa jengo la Thabiti Kombo Mall iliyojengwa kwa usimamizi wa Mfuko wa ZSSF Michenzani Mjini Zanzibar,hafla ya iliyofanyika

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa ZSSF Zanzibar  Nd,Sabra Issa Machano  wakati alipowasili katika sherehe za ufunguzi wa jengo la  Sheikh Thabiti Kombo Mall iliyojengwa kwa usimamizi wa Mfuko wa ZSSF Michenzani Mjini Zanzibar,hafla ya iliyofanyika

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifungua pazia kama ishara ya Ufunguzi wa Jengo la  Sheikh Thabiti Kombo Mall  likiwa limejengwa kwa usimamizi wa Mfuko wa ZSSF Michenzani Mjini Zanzibar (kushoto) Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa ZSSF Zanzibar  Nd,Sabra Issa Machano na (kulia) Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Mohamrd Ramia Adbiwawa hafla ya ufunguzi  iliyofanyika leo

Mwenyekiti wa Maskani kaka ya Kisonge CCM Nd.Juma Rajab akitoa maelezo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) mara baada ya kulifunguzi  Jengo la  Sheikh Thabiti Kombo Mall  lililojengwa kwa usimamizi wa Mfuko wa ZSSF Michenzani Mjini Zanzibar (kulia) Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa ZSSF Zanzibar  Nd,Sabra Issa Machano, hafla ya ufunguzi  iliyofanyika leo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na  Mkurugenzi Mwendeshaji wa Mfuko wa ZSSF Zanzibar  Nd,Sabra Issa Machano  akiingia katika viwanja vya Mapinduzi Square Michenzani mjini Zanzibar mara baada ya kulifunguzi  Jengo la  Sheikh Thabiti Kombo Mall  lililojengwa kwa usimamizi wa Mfuko wa ZSSF Michenzani Mjini Zanzibar  hafla ya ufunguzi  iliyofanyika leo.

Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Jengo la  Sheikh Thabiti Kombo Mall  lililojengwa kwa usimamizi wa Mfuko wa ZSSF liliopo Michenzani Mjini Zanzibar,hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Mapinduzi Square  ambapo Mgeni rasmi alikuwa  Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.

Baadhi ya waalikwa na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Jengo la  Sheikh Thabiti Kombo Mall  lililojengwa kwa usimamizi wa Mfuko wa ZSSF liliopo Michenzani Mjini Zanzibar,hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Mapinduzi Square  ambapo Mgeni rasmi alikuwa  Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.

Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa ZSSF wakifuatiliwa kwa makini Hotuba ya Ufunguzi  Ufunguzi wa Jengo la  Sheikh Thabiti Kombo Mall  lililojengwa kwa usimamizi wa Mfuko huo liliopo Michenzani Mjini Zanzibar,iliyotolewa na Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika viwanja vya Mapinduzi Square  katika hafla iliyofanyika leo .

Baadhi ya waalikwa na Viongozi mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za Ufunguzi wa Jengo la  Sheikh Thabiti Kombo Mall  lililojengwa kwa usimamizi wa Mfuko wa ZSSF liliopo Michenzani Mjini Zanzibar,hafla iliyofanyika leo katika viwanja vya Mapinduzi Square  ambapo Mgeni rasmi alikuwa  Rais wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake mara baada ya kulifungua jengo la Sheikh Thabiti Kombo Mall hatika hafla iliyofanyika leo  Michenzani Mjini Zanzibar (kushoto)  Mgombea Urais wa Zanzibar CCM Dk.Hussein Ali Hassan Mwinyi na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Mohamed Ramia Abdiwawa (kulia) sherehe za ufunguzi wa jengo hilo zilifanyika leo Viwanja  Mapinduzi Square ,[Picha na Ikulu