Home Siasa MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI WILAYA YA MISUNGWI, MKOANI MWANZA

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI WILAYA YA MISUNGWI, MKOANI MWANZA

0

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwasalimia wananchi wa Kata ya Misungwi, wilayani Misungwi Mwanza, katika mkutano wa kampeni za CCM

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiteta jambo na Mgombea ubunge wa Jimbo la Misungwi, Alexander Pastory Mnyeti kwenye mkutano wa kampeni za CCM, katika Kata ya Misungwi

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Kata ya Misungwi, wilayani Misungwi Mwanza, katika mkutano wa kampeni za CCM,

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwakabidhi nakala ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 Mgombea Ubunge wa Jimbo la Misungwi, Alexander Pastory Mnyeti, katika mkutano wa kampeni, Septemba 24, 2020. Katikati ni Mgombea Udiwani Kata ya Misungwi, Muganyizi Leonard. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)