Home Michezo MANCHESTER UNTED YAICHAPA 3-0 LUTON TOWN CARABAO CUP

MANCHESTER UNTED YAICHAPA 3-0 LUTON TOWN CARABAO CUP

0

Mabao ya Juan Mata kwa penalti dakika ya 44, Marcus Rashford dakika ya 88, Mason Greenwood dakika ya 90  yameipa Manchester United ushindi wa 3-0 dhidi ya Luton Town Uwanja wa Kenilworth Road katika mchezo wa Raundi ya Tatu Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup PICHA ZAIDI SOMA HAPA