Home Siasa MHE.DKT.JOHN MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MKOA WA DODOMA

MHE.DKT.JOHN MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MKOA WA DODOMA

0

Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akicheza juu ya Gari yake mara baada ya kuzungumza na wananchi wa Dodoma mjini wakati akitokea mkoani Tabora kwenye mikutano ya Kampeni ya CCM leo tarehe 22 Septemba 2020