Home Siasa TABORA YAZIZIMA KWA UJIO WA MGOMBEA WA URAIS WA CCM RAIS DKT...

TABORA YAZIZIMA KWA UJIO WA MGOMBEA WA URAIS WA CCM RAIS DKT MAGUFULI, WANANCHI WAUJAZA UWANJA WA ALI HASSAN MWINYI KUMSIKILIZA

0

Umati uliojitokeza kumsikiliza mgombea Urais wa Chama cha
Mapinduzi ambaye pia ni nwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John. Pombe Magufuli akihutubia
mkutano wa kampeni katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi leo Jumatatu
Septemba 21, 2020

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni nwenyekiti wa
Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John. Pombe Magufuli akihutubia maelfu kwa maelfu ya Wananchi
waliofurika kumsikiliza akihutubia mkutano wa kampeni katika Uwanja wa
Ali Hassan Mwinyi mjini  Tabora leo Jumatatu Septemba 21, 2020

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni nwenyekiti wa
Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John. Pombe Magufuli akiwasili katika Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi
mjini  Tabora kuhutubia mkutano wa hadhara wa kampeni leo Jumatatu
Septemba 21, 2020