Home Siasa MGOMBEA URAIS CCM DKT.MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA URAMBO MKOANI TABORA

MGOMBEA URAIS CCM DKT.MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA URAMBO MKOANI TABORA

0

Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wananchi wa Urambo mkoani Tabora katika Mkutano wa Kampeni za CCM uliofanyika Urambo mjini leo tarehe 21 Septemba 2020.