Home Mchanganyiko MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI – WILAYA YA RORYA, MKOANI MARA

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI – WILAYA YA RORYA, MKOANI MARA

0

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa Kata ya Mkoma, katika mkutano wa kampeni uliyofanyika katika uwanja wa mpira wa Obwere – Shirati wilayani Rorya

Wananchi wa Kata ya Mkoma, wakimshangilia Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, wakati akiwahutubia, katika mkutano wa kampeni uliyofanyika katika uwanja wa mpira wa Obwere – Shirati wilayani Rorya,

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwakabidhi nakala ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 mgombea ubunge wa CCM wa jimbo la Rorya, Ayoi Mussa Sonde, kwenye mkutano wa kampeni uliyofanyika, katika mkutano wa kampeni uliyofanyika katika uwanja wa mpira wa Obwere – Shirati wilayani Rorya, Septemba 20, 2020. Katikati ni Mgombea Udiwani Kata ya Mkoma, Japhar Chege. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)