Home Siasa TASWIRA ZA MGOMBEA URAIS WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA NJIANI KUELEKEA...

TASWIRA ZA MGOMBEA URAIS WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA NJIANI KUELEKEA MJINI KIGOMA KWA MIKUTANO YA KAMPENI

0

Taswira mbalimbali za mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa anaongea na wananchi maeneo mbalimbali wakati akiwa
njiani kuelekea Kigoma mjini tayari kwa mkutano wake wa kampeni leo Alhamisi Septemba 17, 2020

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa
chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.
John Pombe Magufuli akimasikiliza aliyekuwa Mbunge wa Buhigwe Mhe.
Albert Obama akimnadi Dkt. Philip Mpango anayegombea jimbo hilo
aliposimama kuongea na wananchi wa  Buhingwe wakati akiwa njiani
kuelekea Kigoma mjini tayari kwa mkutano wake wa kampeni leo Alhamisi
Septemba 17, 2020

Sehemu ya umati wa wananchi wakimsikiliza mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli mjini Buhigwe akiwa njiani kuelekea Kigoma mjini tayari kwa mkutano wake wa kampeni leo Alhamisi Septemba 17, 2020

Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimnadi mgombea Ubunge wa Kasulu mjini Profesa Joyce Ndalichako mjini Kasulu wakati akiwa njiani kuelekea Kigoma mjini tayari kwa mkutano wake wa kampeni leo Alhamisi Septemba 17,
2020

Taswira mbalimbali za wananchi wakimshangilia mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alipoongea nao maeneo mbalimbali wakati akiwa njiani kuelekea Kigoma mjini tayari kwa mkutano wake wa kampeni leo Alhamisi Septemba 17, 2020

Picha ya kuchora yenye ujumbe kwa mgombea Urais wa Chama cha
Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama hicho tawala na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ikiwa
imeinuliwa juu eneo la Buhingwe wakati akiwa njiani kuelekea Kigoma
mjini tayari kwa mkutano wake wa kampeni leo Alhamisi Septemba 17,
2020