Home Siasa Mgombea Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John...

Mgombea Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli ahutubia wananchi wa Kigoma

0

Mgombea Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia Wananchi wa Kigoma waliofurika katika uwanja wa Lake Tanganyika katika Mikutano ya Kampeni za CCM mkoani Kigoma leo tarehe 18 Septemba 2020.

Mgombea Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akimvalisha Kofia Msanii wa Kizazi kipya Linex mara baada ya kutumbuiza katika uwanja wa Lake Tanganyika.

Sehemu ya Wananchi waliofurika katika mkutano wa Kampeni wa Mgombea Urais kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli katika uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma