Home Siasa MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI – WILAYA YA ITILIMA MKOANI SIMIYU

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI – WILAYA YA ITILIMA MKOANI SIMIYU

0

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwasalimia wananchi wa jimbo la Itilima, wakati akiwasili katika mkutano wa kampeni uliyofanyika katika Kata ya Ligangabilili, wilayani Itilima. 

Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia wananchi wa jimbo la Itilima, katika mkutano wa kampeni uliyofanyika katika Kata ya Ligangabilili, wilayani Itilima.

Wananchi wa jimbo la Itilima, wakionesha ishara ya mkono ya kumchagua Mgombea Urais wa CCM, Dkt. John Pombe Magufuli kwa miaka mitano tena, wakati Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwahutubia, katika mkutano wa kampeni uliyofanyika katika Kata ya Ligangabilili.

Wananchi wa jimbo la Itilima, wakimshangilia Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, wakati akiwahutubia, katika mkutano wa kampeni uliyofanyika katika Kata ya Ligangabilili.Mjumbe wa Kamati Kuu, Kassim Majaliwa, akiwakabidhi nakala ya Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025 mgombea ubunge wa CCM wa jimbo la Itilima, Njalu Daudi Silanga, kwenye mkutano wa kampeni uliyofanyika, katika Kata ya Lagangabilili, wilayani Itilima. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)