Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni
Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa zawadi ya kofia msanii Ali Kiba baada ya kutumbuiza katika Mkutano wa Kampeni mjini Bukoba mkoani
Kagera leo Jumatano Septemba 16, 2020.
Rais Dkt. Magufuli ameitaja Sanaa kama moja ya sekta muhimu sana za
uchumi nchini na kuahidi kuisimamia kikamilifu katika kipindi chake
cha pili cha Serikali ya awamu ya Tano endapo akichaguliwa tena
kuongoza Tanzania kwa miaka mitano mingine.Msanii Ali Kiba akifurahia kofia aliyopewa na Mgombea Urais wa
Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli baada
ya kutumbuiza katika Mkutano wa Kampeni mjini Bukoba mkoani Kagera leo
Jumatano Septemba 16, 2020. Rais Dkt. Magufuli ameitaja Sanaa kama
moja ya sekta muhimu sana za uchumi nchini na kuahidi kuisimamia
kikamilifu katika kipindi chake cha pili cha Serikali ya awamu ya Tano
endapo akichaguliwa tena kuongoza Tanzania kwa miaka mitano mingine.
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni
Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpa zawadi ya kofia msanii Kala
Jeremiah baada ya kutumbuiza katika Mkutano wa Kampeni mjini
Biharamulo mkoani Kagera leo Jumatano Septemba 16, 2020.Msanii Kala Jeremiah akifurahia zawadi ya kofia aliyopewa na
Mgombea Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama
hicho Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufulibaada ya kutumbuiza katika Mkutano wa Kampeni mjini
Biharamulo mkoani Kagera leo Jumatano Septemba 16, 2020. Rais Dkt.
Magufuli ameitaja Sanaa kama moja ya sekta muhimu sana za uchumi
nchini na kuahidi kuisimamia kikamilifu katika kipindi chake cha pili
cha Serikali ya awamu ya Tano endapo akichaguliwa tena kuongoza
Tanzania kwa miaka mitano mingine.