Home Siasa MHE.SAMIA SULUHU AHUTUBIA WANANCHI WA JIMBO LA SONGEA MJINI

MHE.SAMIA SULUHU AHUTUBIA WANANCHI WA JIMBO LA SONGEA MJINI

0

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwapungia mkono  Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi Jimbo la Songea Mjini alipowasili katika Uwanja wa Sabasaba Wilaya ya Songea Mjini Mkoani Ruvuma kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 15,2020.                             

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia  Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi Jimbo la Songea Mjini mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Sabasaba Wilaya Songea Mjini Mkoani Ruvuma leo Septemba 15,2020.                             

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Songea Mjini wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Sabasaba Wilaya ya Songea Mjini Mkoani Ruvuma leo Septemba 15,2020.                            

Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa Jimbo la Songea Mjini wakimkaribisha Kimila Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, wakati wa  kuwahutubia mkutano wa Kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Sabasaba Wilaya ya Songea Mjini Mkoani Ruvuma leo Septemba 15,2020.                            

 (Picha  na Ofisi ya Makamu wa Rais)