Home Uncategorized MAELFU WAMLAKI RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI MJINI MULEBA

MAELFU WAMLAKI RAIS DK. JOHN POMBE MAGUFULI MJINI MULEBA

0

Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kupitia Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM, Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na  Wananchi wa Muleb wakati akielekea Bukoba mjini mkoani Kagera  leo tarehe 15 Septemba 2020.

(PICHA NA JOHN BUKUKU-MULEBA -KAGERA)

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Taifa Dk. Bashiru Ali Kakurwa akizungumza na kumkaribisha Rais Dk. John Pombe Magufuli ilikuzungumzana wakazi wa Muleba.

Mbunge Mstaafu wa Jimbo la Muleba Kusini Profesa Anna Tibaijuka akimuombea kura Rais Dk. John Pombe Magufuli wakati alipowasili Muleba.

Mgombea Ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi Jimbo la Muleba Kusini Dk Oscar Kikoyo akimuombea kura Rais Dk John Pombe Magufuli wakati alipopokelewa na wananchi wa Muleba mchana huu.

Picha mbalimbali zikionesha wananchi waliojitokeza kumlaki Rais Dk. John Pombe Magufuli wakati alipowasili  Muleba.