Home Siasa MGOMBEA MWENZA MAMA SAMIA AWASILI MKOANI RUVUMA KWA AJILI YA KAMPENI

MGOMBEA MWENZA MAMA SAMIA AWASILI MKOANI RUVUMA KWA AJILI YA KAMPENI

0

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana  na Viongozi na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi wa Kijiji cha Wese Songea alipowasili Mkoani Ruvuma kuendelea na ziara yake na mikutano  ya Kampeni ya Chama cha Mapinduzi CCM baada ya kukamilisha ziara yake katika Mkoa wa Mtwara leo Septemba 14,2020. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)