Home Siasa BASHUNGWA AFIKA HOSPITALI KUJUA AFYA ZA WANAFUZI WALIOUNGUA MOTO – KYERWA

BASHUNGWA AFIKA HOSPITALI KUJUA AFYA ZA WANAFUZI WALIOUNGUA MOTO – KYERWA

0

Mgombea ubunge Jimbo la Karagwe na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa (shati la kijani) akiwa ameambatana na Mgombea ubunge viti maalum, Oliva Semguruka(kulia) na Mjumbe wa mkutano mkuu taifa na Mgombe Udiwani kata Nyabiyonza, Thomas Rwentabaza kuwatembelea wanafunzi waliolazwa katika hospitali ya Nyakahanga kufatia  ajari ya kuungua moto bweni la shule ya msingi Isilamic (Byamungu), uliotokea usiku wa kuamkia leo. , Kyerwa, Kagera, Septemba 14, 2020

Mgombea ubunge Jimbo la Karagwe na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa (shati la kijani) akimsalimia na kumpa pole Bw. Self Juma, baba wa mwanafunzi aliyelazwa katika hospitali ya Nyakahanga kufatia  ajari ya kuungua moto bweni la shule ya msingi Isilamic (Byamungu), uliotokea usiku wa kuamkia leo, nyuma ni Mgombea ubunge viti maalum, Oliva Semguruka, Mjumbe wa mkutano mkuu taifa na Mgombe Udiwani kata Nyaboyonza, Thomas Rwentabaza(kulia), Kagera, Septemba 14, 2020Mgombea ubunge Jimbo la Karagwe na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa (shati la kijani) akiwa ameambatana na Mgombea ubunge viti maalum, Oliva Semguruka(kulia) na Mjumbe wa mkutano mkuu taifa na Mgombe Udiwani kata Nyabiyonza, Thomas Rwentabaza (kulia) kuwatembelea wanafunzi waliolazwa katika hospitali ya Nyakahanga kufatia  ajari ya kuungua moto bweni la shule ya msingi Isilamic (Byamungu), uliotokea usiku wa kuamkia leo. , Kyerwa, Kagera, Septemba 14, 2020