Home Siasa SHILOLE,MADEE,MPOTO WATINGISHA JIJI LA TANGA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UMMY MWALIMU

SHILOLE,MADEE,MPOTO WATINGISHA JIJI LA TANGA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UMMY MWALIMU

0

MSANII
Banana Zoro akitumbiza wakati wa uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Ubunge
Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu leo kwenye viwanja vya Tangamano
Jijini Tanga ambapo uzinduzi huo ulifanywa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu
ya CCM Taifa na Waziri Mkuu Kasim Majaliwa

Msanii wa Bongofleva Madee akitumbiza wakati wa uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Ubunge Jimbo la
Tanga (CCM) Ummy Mwalimu leo kwenye viwanja vya Tangamano Jijini Tanga
ambapo uzinduzi huo ulifanywa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
na Waziri Mkuu Kasim Majaliwa

MSANII wa Mziki wa Bongofleva nchini Shilole akitumbiza wakati wa uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Ubunge Jimbo la
Tanga (CCM) Ummy Mwalimu leo kwenye viwanja vya Tangamano Jijini Tanga
ambapo uzinduzi huo ulifanywa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
na Waziri Mkuu Kasim Majaliwa

Msanii Shilole akionyesha umahiri wake  wakati wa uzinduzi wa Kampeni za Mgombea Ubunge Jimbo la
Tanga (CCM) Ummy Mwalimu leo kwenye viwanja vya Tangamano Jijini Tanga
ambapo uzinduzi huo ulifanywa na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa
na Waziri Mkuu Kasim Majaliwa

Msanii wa Mziki wa Bongo Fleva Maua Sama akitumbuiza wakati wa Uzinduzi huo

Msanii wa Mziki wa Bongofleva Msagasumu akitumbuiza

MSANII lulu Diva akitumbuiza wakati wa uzinduzi huo

Msanii Mrisho Mpoto akionyesha umahiri wake wa kucheza wakati wa uzinduzi huo

Msanii wa Mziki wa Bongofleva Malkia Karen akitumbuiza wakati wa uzinduzi huo

Msanii wa Mziki wa Bongo Fleva Kassim Mganga akitumbuiza wakati wa uzinduzi huo

Mjumbe
wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu Kasim Majaliwa katikati
akifurahi burudani kutoka kwa wasanii wa bongofleva wakati wa uzinduzi
wa kampeni za mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu kulia
kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga Henry Sheifu

Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu Kasim Majaliwa
katikati akifurahi burudani kutoka kwa wasanii wa bongofleva wakati wa
uzinduzi wa kampeni za mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga (CCM) Ummy
Mwalimu kulia kushoto ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga Henry Shekifu na Mkuu wa mkoa wa Tanga Martine Shigella

 Mjumbe
wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu Kasim Majaliwa akiteta
jambo na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga (CCM) Ummy Mwalimu kulia
wakati wa
uzinduzi wa kampeni za mgombea Ubunge wa Jimbo la Tanga (CCM) Ummy
Mwalimu na  kulia