Home Siasa MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI JIJINI TANGA

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI JIJINI TANGA

0

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM  Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Tangamano jijini Tanga

 Wananchi wa Jiji la Tanga wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa kampeni kwenye  uwanja wa Tangamano jijini humo

Wasanii Mrisho Mpoto  (kushoto) na Banana Zoro wakiimba katika mkutano wa kampeni za CCM uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Tangamano jijini Tanga.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa  na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimsikiliza mgombea ubunge wa CCM wa Jimbo la Tanga Mjini ambaye pia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati ambaye aliwaomba wananchi wa Tanga wampigie kura Mgombea Urais wa CCM, Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Wabunge na Madiwani wa CCM katika mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Tangamano jijini Tanga

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akimnadi Mgombea Ubunge  wa CCM katika Jimbo la Tanga Mjini ambaye pia ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu katika mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye uwanja wa Tangamano jijini Tanga

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)