Mkurugenzi wa Rasilmali Watu, Vodacom Tanzania Plc, Vivianne Penessis (Kulia) akiongea na wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari wakati wa kuhitimu mafunzo ya kuwajengea uwezo wasichana katika masomo ya sayansi (Women in Data Science) Dar es Salaam 2020 yaliyoandaliwa na Tanzania Data Lab (DLab) kwa udhamini wa Vodacom Tanzania Plc .( # Codelikeagirl ) Kushoto ni Mkurugenzi wa Tanzania DLab Stephen Chacha, jumla ya Wasichana 60 walihitimu mafunzo hayo ya muda mfupi.
Mkurugenzi wa Rasilmali watu, Vodacom Tanzania Plc, (HR) Vivianne Penessis (Kulia) akimkabidhi zawadi ya begi Loyce Nasoro wa kundi la Solveit kwa kuibuka washindi wa tatu wa ubunifu wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wasichana katika masomo ya sayansi (Women in Data Science) Dar es Salaam 2020 yaliyoandaliwa na Tanzania Data Lab (DLab) kwa udhamini wa Vodacom Tanzania Plc.( # Codelikeagirl) Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa DLab Stephen Chacha, jumla ya Wasichana 60 walihitimu mafunzo hayo ya muda mfupi.
Mkurugenzi wa Rasilmali watu, Vodacom Tanzania Plc, Vivianne Penessis (Kulia) akimkabidhi zawadi Nilham Ally wa kundi la Soko Poa baada ya kuibuka washindi wa kwanza wa ubunifu wa tovuti inayoonesha namna ya kuuza na kununua bidhaa za vyakula wakati wa mafunzo ya kuwajengea uwezo wasichana katika masomo ya sayansi (Women in Data Science) Dar es Salaam 2020 yaliyoandaliwa na Tanzania Data Lab kwa udhamini wa Vodacom Tanzania Plc, jumla ya Wasichana 60 walihitimu mafunzo hayo ya muda mfupi.
Mkurugenzi wa Rasilmali watu, Vodacom Tanzania Plc, Vivianne Penessir (Kulia) akimkabidhi Rayyan Ahmed cheti cha kuhitimu mafunzo ya kuwajengea uwezo wasichana katika masomo ya sayansi (Women in Data Science) Dar es Salaam 2020 yaliyoandaliwa na Tanzania Data Lab (DLab) kwa udhamini wa Vodacom Tanzania Pllc. .( # Codelikeagirl) Anayeshuhudia ni Mkurugenzi Mtendaji wa DLab Stephen Chacha, jumla ya Wasichana 60 walihitimu mafunzo hayo ya muda mfupi.