Home Siasa MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI HOLILI

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI HOLILI

0

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mbunge wa Rombo  na Waziri Mstaafu, Basil Mramba (katikati) na Mkuu wa Mkoa Mstaafu, Isdory Shirima  baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni  kwenye uwanja wa soko la Holili wilayani Rombo Septemba 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mbunge wa zamani wa Rombo na Waziri Mstaafu,  Basil Mramba (kulia) akimnadi mgombea ubunge wa  CCM jimbo la Rombo, Profesa Adolf Mkenda katika mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  kwenye uwanja wa Soko la Holili wilayani Rombo Septemba 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mgombea ubunge wa CCM wa jimbo la Rombo, Profesa Adolf Mkenda katika mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Waziri Mkuu kwenye uwanja wa Soko la Holili wilayani Rombo, Septemba 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Naibu Waziri na Mkuu wa Mkoa mstaafu, Aggrey Mwanri akimnadi Mgombea ubunge wa CCM wa jimbo la Rombo, Profesa Adolf Mkenda  katika mkutano wa kampeni uliohutubiwa na Mjumbe wa Kamati Kuu na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye uwanja wa Soko la Holili wilayani Rombo, Septemba 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)