Home Siasa MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI HOLILI – ROMBO

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI HOLILI – ROMBO

0

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Sokoni, Holili wilayani Rombo

 Wananchi wa Rombo wakimshangilia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipohutubia mkutano wa kampeni kwenye  uwanja wa Sokoni, Holili wilayani Rombo.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa soko la Holili wilayani Rombo, Septemba 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)