Home Siasa MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI KIRIMA JUU, MOSHI VIJIJINI

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA KAMPENI KIRIMA JUU, MOSHI VIJIJINI

0

 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  akizungumza na mwananchi katika mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Mkoringa, Kirima Juu wilayani Moshi Vijijini,

 Wananchi wa  Kirima Juu wakimsikiliza Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa Mkoringa, Kirima Juu wilayani Moshi Vijijini, Septemba 6, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)