Home Michezo Bia ya Serengeti yadhamini mbio za kuhamasisha utunzaji mazingira wilayani Serengeti

Bia ya Serengeti yadhamini mbio za kuhamasisha utunzaji mazingira wilayani Serengeti

0

Mkuu wa wilaya ya Rorya Simon Odunga (wa tano kushoto)  akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mbio za Serengeti Migration Marathon zilizodhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) pamoja na makampuni mengine kwa ajili ya uhamasiahaji wa utunzaji wa mazingira. Mbio hizo zilifanyika jana wilayani Serengeti mkoani Mara

Baadhi ya washiriki wa mbio za Serengeti Migration Marathon wakionyesha medali zao baada ya kuweza kumaliza mbio hizo zilizodhaminiwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) pamoja na makampuni mengine kwa ajili ya uhamasishaji wa utunzaji wa mazingira. Mbio hizo zilifanyika jana wilayani Serengeti mkoani Mara.

Baadhi ya washiriki wa mbio za Serengeti Migration Marathon wakishangilia baada ya kufanikiwa kumaliza mbio hizo zilizodhaminiwa na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) pamoja na makampuni mengine kwa ajili ya uhamasishaji wa utunzaji wa mazingira. Mbio hizo zilifanyika jana wilayani Serengeti mkoani Mara.