Home Siasa BASHUNGWA AWASHA MITAMBO, AZINDUA KAMPENI JIMBO LA KARAGWE

BASHUNGWA AWASHA MITAMBO, AZINDUA KAMPENI JIMBO LA KARAGWE

0

Msafara wa  magari na pikipiki ukimsindikiza  Mgombea ubunge jimbo la Karagwe na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa kwenye uzinduzi wa Kampeni za CCM jimbo la Karagwe kwa upande wa Urais, Wabunge na Madiwani uliofanyika kwenye viwanja vya Stendi ya Omurushaka, Karagwe, Kagera

Mgombea ubunge jimbo la Karagwe na Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Innocent Bashungwa akizungumza na Wananchi wa Karagwe wakati wa uzinduzi wa Kampeni za CCM jimbo la Karagwe kwa upande wa Urais, Wabunge na Madiwani katika viwanja vya Stendi ya Omurushaka, Karagwe, Kagera

Wagombea Udiwani wa kata 23 za jimbo la Karagwe na Udiwani viti maalum wakitambulishwa kwa wananchi wakati wa uzinduzi wa Kampeni za CCM jimbo la Karagwe kwa upande wa Urais, Wabunge na Madiwani katika viwanja vya Stendi ya Omurushaka, Karagwe, Kagera.

Picha na Eliud Rwechungura